Brian Baloyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Brian Baloy (alizaliwa Alexandra, Gauteng, 16 Machi 1974[1]) ni golikipa mstaafu wa timu ya taifa ya mpira wa miguu wa Afrika Kusini.

Baloyi alicheza mechi yake ya kwanza mwaka 1993 na alijiunga na klabu ya Mamelodi sundowns mnamo mwaka 2004 baada ya kuchezea klabu ya Kaizer Chiefs kwa muda wa muongo mmoja. Baloyi anajulikana kama "Spiderman".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "South Africa - B. Baloyi - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". www.soccerway.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 June 2009.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Baloyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.