Brenda Odimba
Mandhari
'
Brenda Odimba | |
---|---|
Brenda Odimba | |
Kazi yake | mhandisi na mwanaharakati wa Ubelgiji |
Brenda Odimba (pia huandikwa Brända Audimba) ni mhandisi na mwanaharakati wa Ubelgiji.
Odimba alikuwa mmoja wa wasemaji wa walioathiriwa na njaa mwaka 2021 wa wahamiaji wasio na hati nchini Ubelgiji.[1] Odimba alianzisha chama cha NewSisterhood.[2]
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Odimba alizalliwa Brussels. Baba yake alikuwa mbelgiji na mama yake akiwa amezaliwa Congo alikulia Ubelgiji, kama mfanya kazi asiekuwa na hati kwa miaka mingi.[3] Obimba alisoma katika Université libre de Bruxelles na Vrije Universiteit Brussel.Ni mhandisi aliyefunzwa[4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Grève de la faim des sans-papiers: 250 personnes manifestent leur soutien en face de Bruxelles-Central", L'Avenir, 17 July 2021. (French)
- ↑ "Open brief: voor de vrijlating van de Vermeer Drie", DeWereldMorgen, 14 November 2022. (Dutch)
- ↑ Schultz, Teri. "Will cities in Belgium take down statues of Leopold II?", Deutsche Welle, 10 June 2020.
- ↑ Schulz, Teri. "Belgians Target Some Royal Monuments In Black Lives Matter Protest", NPR, 5 June 2020.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brenda Odimba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |