Braga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Braga (kifupisho cha Kilatini Bracara Augusta) ni mji wa Ureno kaskazini-magharibi. Una wakazi 137,000.[1] HIvyo ni wa saba kati ya miji ya Ureno. Eneo lake ni la km² 183.40&nbsp.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: