Borj Cédria, Tunisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha reli cha Borj Cédria

Borj Cédria (kwa Kiarabu: برج السدرية) ni mji uliopo kando ya reli nchini Tunisia karibu na mji mkuu Tunis.

Mwaka 2004, idadi ya wakazi wa mji huu ilikuwa 8,974.

Kuna eneo kubwa la makaburi ya Wajerumani mjini humo, yaliyotokana na mapigano wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Borj Cédria, Tunisia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.