Bombwe (mnyama)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Bombwe ni kiumbe anayeishi kwenye maji baridi ama ya chumvi hasa sehemu za bahari zilizoingia ndani ya ardhi ambako pia kuna makutano na maji baridi.