Nenda kwa yaliyomo

Bologhine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bologhine ni kitongoji cha jiji la Algiers kaskazini mwa Algeria. Kimepewa jina lake kwa heshima ya Bologhine ibn Ziri, ambaye alianzisha mji huo mwaka 944.

Bologhine
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bologhine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.