Bochotnica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gofu la ngome huko katika kijiji cha Bochotnica, POland

Bochotnica (IPA bɔxɔtˈnit͡sa) ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Wisła.

Kiko katikati ya miji ya Puławy na Lublin, katika wilaya ya Lublin.

Kina wakazi 1,500 (2010).

51° 20′ 00″ N 21° 59′ 00″ E

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bochotnica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.