Bobi, Uganda
Mandhari
Bobi ni mji ulio katika mkoa wa Kaskazini mwa Uganda.
Mahali ilipo
[hariri | hariri chanzo]Bobi ipo katika Wilaya ya Gulu kando ya barabara ya Kamdini – Gulu, takriban kilomita 27 sawa na maili 17 umbali kwa kwa barabara kutokea kusini mwa Gulu ambapo jiji kubwa zaidi katika mkoa wa Kaskazini.[1], ikiwa na majira nukta (2 ° 33'16.0 "N, 32 ° 21'28.0" E (Latitudo: 2.554441; Longitudo: 32.357782))[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ GFC (3 Januari 2016). "Road Distance Between Gulu And Bobi With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 3 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.google.com/maps/place/2%C2%B033'16.0%22N+32%C2%B021'28.0%22E/@2.5331089,32.3238409,12z/data=!4m2!3m1!1s0x0:0x0 | accessdate=3 January 2016}}
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bobi, Uganda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |