Bobby Lashley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bobby Lashley katika Slammiversary XV
Bobby Lashley katika Slammiversary XV

Franklin Roberto Lashley (aliyezaliwa Julai 16, 1976) ni mcheza mieleka wa kulipwa wa Marekani na msanii wa mapigano ambaye sasa amesajiliwa WWE, ambako anacheza juu ya chapa ya Raw kwa jina la ulingoni Bobby Lashley. Ni bingwa wa mkanda wa Intercontinental Champion.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Lashley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.