Bobby Adekanye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omobolaji Habeeb "Bobby" Adekanye (alizaliwa 14 Februari 1999) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu anayecheza kama mshambuliaji kwa klabu ya Go Ahead Eagles.[1]

Taaluma ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Ingawa alizaliwa nchini Nigeria, Adekanye amewakilisha Uholanzi katika ngazi za vijana kimataifa baada ya kuhamia huko akiwa na umri wa miaka 4.[2]

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Lazio

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kigezo:Soccerway
  2. "Bobby Adekanye". Liverpool FC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Adekanye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.