Bob Andy
Mandhari
Keith Anderson (anajulikana zaidi kwa jina la kisanii Bob Andy, 28 Oktoba 1944 – 27 Machi 2020) alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa reggae kutoka Jamaika.
Alijulikana sana kama mmoja wa watunzi wa nyimbo wenye ushawishi mkubwa katika muziki wa reggae.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Katz, David. "Bob Andy obituary", 30 March 2020.
- ↑ "We Remember Bob Andy". AllMusic.