Bisola Aiyeola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bisola Aiyeola

Bisola Aiyeola (alizaliwa 21 Januari 1986) ni muigizaji na muimbaji wa Nigeria ,mwaka 2017, Bisola alikuwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya Big Brother Naija.[1] mwaka 2018, alishinda tuzo ya AMVCA Trailblazer Award.[2]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Bisola alisoma katika chuo kikuu cha National Open University of Nigeria akisomea usimamizi wa biashara [3]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Aiyeola alianza kuonekana katika Big Brother Nigeria mwaka 2017 .[4][5] Aiyeola alikuwa ni mmoja wa washiriki katika shindano la MTN Project Fame West Africa katika mwaka 2008 ambapo Iyanya alishinda.[6]

Mwaka 2018, Bisola alishinda tuzo ya Trail Blazer Award .[7]

Maisha Binfasi[hariri | hariri chanzo]

Aiyeola alipata mtoto wa kike.[1] mwezi Agosti 2018, baba wa mtoto yake aliaga dunia .[8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Bisola Aiyeola Inspires Fans With Lessons From Mistakes. Concise News. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 28 August 2018. Cite error: Invalid <ref> tag; name "rf1" defined multiple times with different content
  2. Bisola Aiyeola Wins Brand New Car at AMVCA 2018.
  3. BisolaAiyeola profile. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-09-01. Iliwekwa mnamo 2020-11-02.
  4. Video: I feel betrayed, says Bisola runner up #BBNaija. Vanguard Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.
  5. Big Brother Naija: Real reason Efe defeated Bisola, Tboss – Reuben .... Daily Post Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.
  6. mtn project fame.
  7. Award.
  8. Popular Nollywood Actress Bisola Aiyeola loses Baby Daddy .. Guardian Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bisola Aiyeola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.