Bishnu Majhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bishnu Majhi

Bishnu Majhi (alizaliwa 1986) ni mwimbaji nchini Nepal ambaye kwa miaka 15 amesharekodi nyimbo zaidi ya 5,000 zikiwa pamoja na "Sital Dine Pipal Sami Chha", "Driver Dai Man Paryo Malai", "Lalupate Nughyo Bhuintira", "Purbako Mechi Ni Hamrai Ho, Paschim Mahakali Ni Hamrai Ho" and "Rumal Hallai Hallai" na nyingine.

Wimbo wake wa 2018 "Salko Patko Tafari Muni" umekuwa maarufu kwa watu wa Nepal kwenye mtandao wa Youtube, ukiwa na watazamaji zaidi ya milioni 50, tangu mwaka 2020. Tuzo zake ni pamoja na Tuzo za Muziki wa Hits FM na Tuzo za Kalika FM. Bishnu Majhi alizaliwa katika kijiji cha Syangja, alianza kuimba katika matukio ya umma akiwa na umri wa miaka 13. Alianza kupata umaarufu baada ya kuanza kazi yake ya huko Kathmandu mwaka 2004, kwa msaada wa Sundarmani Adhikari, ambaye baadaye alimuoa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tuzo zake pamoja na Tuzo za Muziki wa Hits FM na Tuzo za Kalika FM". nepalmag.com.np (kwa Swahili). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 April 2020. Iliwekwa mnamo 11 May 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bishnu Majhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.