Betty Nambooze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Betty Nambooze
Jina la kuzaliwa Betty Nambooze Bakireke
Alizaliwa 13 Julai 1969
Nchi Uganda
Kazi yake Mwandishi wa habari

Betty Nambooze Bakireke Anajulikana kama Betty Nambooze ni mwandishi wa habari na mwanasiasa wa Uganda. Anahudumu kama mwanachama wa Bunge la Uganda, akiwakilisha Manispaa ya Mukono, iliyopo katika Wilaya ya Mukono[1].


Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Betty Nambooze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.