Nenda kwa yaliyomo

Beth Mead

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mead akiwa na Uingereza mnamo 2022

Bethany Jane Mead (alizaliwa 9 Mei 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza. Pia Beth Mead anatambulika kama mshambulizi mbunifu na hodari.[1]

Katika mashindano ya UEFA Women's Euro 2022, alikua mshindi wa kiatu cha Dhahabu, mchezaji bora wa mashindano, na mtoaji bora wa pasi za mwisho nyingi [2], na kuiongoza Uingereza kutwaa ubingwa katika shindano kuu kwa mara ya kwanza. Baadaye mwaka huo.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Manchester City players dominate PFA team of the year", BBC Sport, 18 April 2018. 
  2. "Big chances created – WSL 2021/21 stats". fotmob.com.
  3. "Mead hoping for more moments of magic", FIFA, 1 March 2019. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beth Mead kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.