Nenda kwa yaliyomo

Bernard Kitungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Kitungi ni mwanasiasa wa Kenya na mbunge wa bunge la 11 la Kenya katika eneo bunge la Mwingi Magharibi, kaunti ya Mwingi.

Alichaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya chama cha Wiper Democratic Movement - Kenya (WDM-K) na kwa kuungwa mkono na muungano wa CORD mwaka 2013.[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kitungi, Bernard Munywoki | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  2. Gachie, Laban Thua (2016-05-06). "Bernard Kitungi - Biography, MP Mwingi West, Wife, Family, Wealth". Kenyan Life (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  3. "MP tells police to produce missing Mwingi driver". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-12-03.
  4. "Businessman to run for Mwingi West MP on Jubilee ticket". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-12-03.