Benard Otieno Okoth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Benard Otieno Okoth ni mbunge wa Kenya. Alichaguliwa akiwa mgombea wa chama cha Orange Democratic Movement katika Jimbo la Kibra, kaunti ya Nairobi, kwenye mwaka 2019.

Otieno alihitimu elimu ya sekondari kwenye mwaka 1995 pale Kirangari High School. Aliwahi kufanya kazi katika makampuni binafsi hadi kuwa meneja wa Jimbo la Kibra kuanzia mwaka 2014 hadi 2019[1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. How Imran Okoth won Kibra's heart (en). Daily Nation. Iliwekwa mnamo 2020-02-21.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]