Begi la kidiplomasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Begi la kidiplomasia (linajulikana kwa lugha nyingine kama mkoba wa kidiplomasia) ni sanduku lenye ulinzi halali kisheria ambalo hutumika kubeba viambatisho au vitu vinginevyo kati ya kazi za kidiplomasia baina ya serikali ya nyumbani au wanadiplomasia, mabalozi au vyombo rasmi.

Makala hii kuhusu "Begi la kidiplomasia" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.