Nenda kwa yaliyomo

Beenie Man

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beenie Man mwaka 2017

Moses Anthony Davis (anajulikana kitaaluma kama Beenie Man, amezaliwa 22 Agosti 1973) ni deejay wa dancehall kutoka Jamaika.[1][2][3][4]

  1. "Beenie Man Archives". 10 Novemba 2023. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-10-02. Iliwekwa mnamo 2024-10-02.
  2. Thompson 2002, pp. 32–34
  3. Moskowitz, David V. (2006) Caribbean Popular Music: an Encyclopedia of Reggae, Mento, Ska, Rock Steady, and Dancehall, Greenwood Press, ISBN 0-313-33158-8, p. 24
  4. Larkin 1998, pp. 22–23