Beatrice Singano
Mandhari
Beatrice Singano | |
Airtel Tanzania
| |
utaifa | Mtanzania |
---|---|
mhitimu wa | shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Masuala ya Biashara |
taaluma | Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel |
kamati | Mjumbe baraza la michezo Tanzania (BMT) |
dini | Mkristo |
Beatrice Singano ni mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya Airtel Tanzania[1]; pia aliteuliwa na Waziri Harrison George Mwakyembe kuwa mjumbe wa bodi ya baraza la michezo Tanzania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Singano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |