Batian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Batian (kushoto) na Nelion (kulia).

Batian ni kilele kimojawapo cha Mlima Kenya ambao unapatikana nchini Kenya.

Kina urefu wa mita 5,199 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]