Bass Sultan Hengzt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bass Sultan Hengzt
Porno Mafia-Tour Lichterfelde.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Fabio Ferzan Cataldi
Amezaliwa 14 Agosti 1981 (1981-08-14) (umri 39)
Asili yake Uturuki, Italia
Aina ya muziki Hip hop, gangsta rap
Studio Amstaff Muzx, Murderbass
Ame/Wameshirikiana na King Orgasmus One, MC Bogy, Fler, Sido, Mr. Long

Fabio Ferzan Cataldi (amezaliwa tar. 14 Agosti 1981) ni rapa kutoka nchini Ujerumani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Bass Sultan Hengzt. Huyu ana asili ya Kituruki/Kiitalia.

Tangu mwaka wa 2001, aliingia mkataba na studio ya I Luv Money Records akiwa kama mwanachama wa kundi la rap lililokuwa linachipukia Berlins Most Wanted (BMW) ambamo alifanya kazi pamoja na Bushido na King Orgasmus One. Ilivyofika mwaka wa 2003, akatoa albamu yake ya kwanza ya kujitegemea iliyokwenda kwa jina la Rap braucht kein Abitur, 2004 akatoa albamu iliyokwenda kwa jina la Bezirk zu Bezirk akiwa na MC Bogy.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]