Baruch Awerbuch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baruch Awerbuch (alizaliwa 1958) ni mwanasayansi wa kompyuta na profesa wa sayansi ya kompyuta[1] katika chuo cha Johns Hopkins mwenye uraia wa Israeli na Marekani.

Anafahamika kwa tafiti zake za uchakataji mifumo ya kompyuta[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Baruch Awerbuch's home page. www.cs.jhu.edu. Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
  2. Baruch Awerbuch's research works | Johns Hopkins University, MD (JHU) and other places (researchgate.net)