Barry Harris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barry Doyle Harris

Maelezo ya awali
Amezaliwa 15 Desemba 1929
Asili yake Detroit, Michigan, U.S.
Amekufa 8 Desemba 2021,North Bergen, New Jersey
Kazi yake Mwanamuziki, Kiongozi wa bendi, mtunzi, mwalimu
Miaka ya kazi 1950s–2021
Tovuti barryharris.com
Barry Harris, kwenye Tamasha la Kimataifa la Jazz la Detroit
Barry Harris 1981
Barry Harris kwenye Ukumbi wa Utamaduni wa Jazz huko New York City tarehe 21 Julai, 1984

Barry Doyle Harris (alizaliwa 15 Desemba 1929 - 8 Desemba 2021) alikua ni mpiga kinanda, kiongozi wa bendi, mtunzi na mwalimu wa nchini Marekani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Milkowski, Bill (1998). Barry Harris: Young-hearted elder. Jazz Times.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barry Harris kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.