Nenda kwa yaliyomo

Barcelona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uso wa Bahari ya Barcelona

Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania. Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania.

Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea. Mji upo kati ya Mto Llobregat na Besòs, na kusini upo katika milima ya Pirenei.

Leo hii kuna takriban watu milioni 1.6 wanaoishi katika mji huo (sensa ya 2006). Kati ya milioni 3.1 ya watu wanaishi katika Maeneo ya Metropolitan na milioni 5.3 wapo Mijini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barcelona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.