Barbora Votíková

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Votíková akiwa na Slavia Prague mnamo 2017

Barbora Votíková (alizaliwa 13 Septemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ucheki ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ucheki.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbora Votíková kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.