Banzumana Sissoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Banzumana Sissoko
Faili:Bazoumana Sissoko.jpg
Amezaliwa 1890
koni
Amekufa 29 disemba 1987
mali
Kazi yake mwanamuziki


Banzumana Sissoko (alizaliwa 1890 - 1987) alikuwa ni mchezaji maarufu wa Mali Jeli na N'goni nchini Mali[1].


Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Banzumana alizaliwa akiwa kipofu huko Segou. Alichukuliwa kama mtu muhimu sana katika taifa la Mali kuanzia mwishoni mwa mwaka 1950 wakati Banzumana Sissoko alipojulikana hadi kifo chake mnamo 1987 taifa zima la Mandenka lilikuwa shahidi inashangaza kwamba kwenye mkusanyiko wake mkubwa wa nyimbo zake za asili hakuna hata moja iliyo na sifa kwa mtu aliye hai.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Banzoumana Sissoko, retrieved 2010-11-27
  2. Cheick Mahamadou Chérif Keïta, "Jaliya in the Modern World," in David C. Conrad and Barbara E. Frank, Status and Identity in West Africa: Nyamakalaw of Mande (Indiana University Press, 1995.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Banzumana Sissoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.