Bangi nchini Kenya
Mandhari
Bangi nchini Kenya ni haramu[1].
Dawa hiyo ("cannabis" au "bhang") ilipigwa marufuku nchini Kenya wakati ilipokuwa nchi lindwa ya Waingereza kwa jina la Afrika ya Mashariki ya Kiingereza chini ya Ordinance ya Opium, tarehe 1 Januari 1914. [2] [3]
Walakini, hivi karibuni kumekuwa na kampeni ambazo zimetaka kuhalalishwa kwake. Kwa mfano, marehemu Ken Okoth, mbunge wa zamani wa Kibra katika mji mkuu, alikuwa akitetea kuihalalisha kwake [4] kwa msingi wa faida yake ya kitabibu. Bila shaka, si wote wanakubali hoja zake. [5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Paul V. Daly (Julai 1996). The Supply of Illicit Drugs to the United States: The Nnicc Report. DIANE Publishing. ku. 64–. ISBN 978-0-7881-3942-0.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kenya Gazette. 15 Oktoba 1913. ku. 882–.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kenya Gazette. 4 Machi 1914. ku. 203–.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-24. Iliwekwa mnamo 2020-04-20.
- ↑ “Endorsing the drug would have disastrous effects on our vulnerable society, with so much unemployment. Jamaica is such a messed up country with high level crime and idleness,” posted Gorillaman after the news that South Africa had legalised the drug.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bangi nchini Kenya kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |