Bamunanika
Mandhari
Bamunanika (kwa tahajia sahihi ya matamshi ni Baamunaanika) ni mji katika wilaya ya Luweero katikati ya Uganda.
Mahali ilipo
[hariri | hariri chanzo]Bamunanika iko takriban kilomita 52 sawa na maili 32 kwa barabara, kaskazini mwa mji mkuu wa Kampala, mji mkuu wa Uganda.[1] ikiwa na majira nukta (00 41 15N, 32 36 31E (Latitudo: -0.6875; Longitudo: 32.6085))
Muhtasari
[hariri | hariri chanzo]Bamunanika ni miongoni mwa miji iliyopo wilaya ya Luweero, ikiwa miji mingine ni pamoja na:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bamunanika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |