Bala Ali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bala Ali (alizaliwa 16 Agosti 1968) [1] alikuwa mwanasoka ambaye alicheza kama winga wa vilabu vya Nigeria na Ugiriki.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 1991, Ali alijiunga na klabu ya Panachaiki F.C. kwa msimu mmoja akionekana katika mechi 16 za ligi ya klabu. [2]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Ali aliichezea timu ya taifa ya Nigeria mara kadhaa. Alifunga goli kwenye mechi yake ya kwanza, mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Upper Volta mwaka wa 1981. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Okwaraji: Fashola leads Lagos, Ex-Eagles to stadium", 10 August 2009. Retrieved on 24 August 2019. 
  2. Mastrogiannopoulos, Alexander (11 May 2005). "Foreign Players in Greece since 1959/60". RSSSF. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-10.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  3. Solaja, Kunle (10 February 2011). "Ehiosun is 58th scoring debutant". Supersport.com.  Check date values in: |date= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bala Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.