Bagai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Bagai

Bagai ulikuwa mji wa kale katika Dola la Roma, mji huo ulikuwa katika mkoa wa Africa Proconsularis. Pia palikuwa ni jimbo la zamani la kanisa katoliki. Mji huo wa kale unatambulika kwaa magofu yaliyopo huko Ksar-Bagaï nje ya Baghai, katika Milima ya Aurès ya Wilaya ya El Hamma, katika Mkoa wa Khenchela, Algeria.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bagai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.