Baby Driver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Baby Driver ni filamu ya mwaka 2017 iliyoandikwa na kuelekezwa na Edgar Wright.

Mhusika mkuu wa filamu hii ni Ansel Elgort kama baby driver anayetafuta uhuru kutoka kwa maisha ya uhalifu na mpenzi wake Debora (Lily James). Kevin Spacey, Jon Hamm, Eiza Gonzalez, Jamie Foxx na Jon Bernthal (miongoni mwa wengine) wanajitokeza katika jukumu la kusaidia.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baby Driver kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.