Aziza Amir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya mwigizaji wa Misri Aziza Amir (1901-1952)
Picha ya mwigizaji wa Misri Aziza Amir (1901-1952)

Aziza Amir (Desemba 17 1901 - Februari 28 1952) alikuwa mwigizaji, mzalishaji na mwandishi wa nchini Misri. Anasemwa kwenye hadithi za sinema huko Misri . Alikuwa mke wa Kwanza wa Mahmoud Zulfikar .[1].

Maisha ya zamani na kazi[hariri | hariri chanzo]

Aziza Amir Alizaliwa 'Mofida Mohamed Gheneim ' Damiettia Misri , Desemba 17 1901. [2] Amir alienda shule ya Hosn El Massarat huko mtaa wa Mohamed Ali .Baba yake alifanya kazi ya Baharia kuweza kuhudumia familia yake.[3] Amir alibadili jina lake kutoka na mtazamo wa jumla wa jamii ya misri katika ukumbi wa michezo wa wanawake na jinsi ingeathiri sifa ya familia yake.[4] Baada ya mapinduzi ya 1919 kiwango Cha wanawake kikajaa juu na walitaka kuleta mabadiliko.Amir akaanza kuigiza kwenye ukumbi wa michezo Aziza akachukua jukwaa na kuanza kazi katika ukumbi wa michezo Kama Mwigizaji.Akacheza Kama Binti wa Napoleon jukwaani na hivyo ndivyo alikutana na Mume wake wa Kwanza Ahmed El Sheirei , ambaye alikuwa Meya was Samalout.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. (2005) Encyclopedia of Arab Women Filmmakers. Cairo, Egypt: American University in Cairo Press, 28–29. ISBN 9789774162688. Retrieved on 20 December 2015. 
  2. name=":2">AZIZA AMIR: TRAGIC LIFE OF EGYPT’S FIRST FEMALE FILMMAKER (2018-01-20).
  3. name=":0">تسجيلي عاشقات السينما 1 | Documentaire Les Passionnées du Cinéma I | Woman who Loved Cinema І (2002).
  4. Dickinson, Kay (2007). ""I Have One Daughter and That Is Egyptian Cinema": 'Azı¯za Amı¯r amid the Histories and Geographies of National Allegory". Camera Obscura 22: 137–177. doi:10.1215/02705346-2006-023 .
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aziza Amir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.