Azimio la Dodoma
Mandhari
Azimio la Dodoma ni makubaliano ya wanablogu wa Kiswahili wa Tanzania waliokutana jijini Dodoma kuhusu njia za kuendeleza blogu za wanablogu wa Tanzania kwa kuwa na maadili yanayoendana na utu, heshima, na kanuni za uandishi wa habari. Mkutano huo ulifanyika 7 Aprili 2006.
Viuongo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Azimio la Dodoma
- Blogu za Kiswahili Ilihifadhiwa 21 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
- Blogu za Watanzania Ilihifadhiwa 21 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
- Blogu za Wakenya Ilihifadhiwa 18 Aprili 2006 kwenye Wayback Machine.
- Mradi wa Global Voices
- Masomo kwa wanablogu wapya