Azania Bancorp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Azania Bancorp ni taasisi ya fedha inayoweza kufanya biashara na wakulima wadogowadogo na kupata faida kubwa tu.

Pamoja na Watanzania kukubali kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini na wengi wao ni wakulima na wafugaji, bado taasisi za fedha hazijafanya uamuzi wa kufanya biashara na Watanzania hao ili kupata faida hiyo.

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azania Bancorp kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.