Nenda kwa yaliyomo

Ayoub Abou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ayoub Abou

Ayoub Abou Oulam (alizaliwa 28 Juni 1998) ni mwanasoka kutoka nchini Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu iliyopo Serie C kutokea nchini Italia iitwaayo SPAL.

Abou alizaliwa mjini Casablanca lakini alihamia Barcelona akiwa na umri wa miaka tisa. Baadaye alijiunga na La Masia ya FC Barcelona, ​​[1] lakini akahamia FC Porto mnamo Julai 2015, na kuanzishwa kwenye kikosi cha vijana wenye umri chini ya miaka 20. [2]

Mnamo 30 Agosti 2017, Abou alijiunga na CF Rayo Majadahonda ya Segunda Division B. [3] Alianza kucheza timu ya wakubwa kikosi cha kwanza mnamo Septemba 10, akianza kwa kupoteza kwa mabao 0-4 ugenini dhidi ya SD Ponferradina. [4]

  1. "Ayoub Abou: "Mi único objetivo ahora es llegar al primer equipo del Porto"". sport.es.
  2. "Morocco's Ayoub Abou to Join FC Porto from FC Barcelona". moroccoworldnews.com.
  3. "Ayoub Abou, nuevo y último fichaje para completar la plantilla del CF Rayo Majadahonda" [Ayoub Abou, new and last signing to complete the squad of CF Rayo Majadahonda] (kwa Kihispania). CF Rayo Majadahonda. 30 Agosti 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-01. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Ponferradina 4–0 Rayo Majadahonda | Goleada engañosa" [Ponferradina 4–0 Rayo Majadahonda | Misleading routing] (kwa Kihispania). El Gol de Madriz. 10 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayoub Abou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.