Awa Ly N'diaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Awa Ly N'diaye (alizaliwa 15 Januari 2000) ni mwanamke mwanariadha wa kuogelea kutoka Senegal.[1] Alishindana katika tukio la freestyle la mita 50 kwa wanawake katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya 2016. Alitolewa nje kwa kukiukia sheria na hakufanikiwa kusonga mbele kuingia katika nusu fainali.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Awa Ly Ndiaye". Rio 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 August 2016. Iliwekwa mnamo 16 August 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Swimming Results Book". 2016 Summer Olympics. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 December 2018. Iliwekwa mnamo 28 July 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Awa Ly N'diaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.