Nenda kwa yaliyomo

Atlanta Hawks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja kati ya mastaa wa timu ya Atlanta Hawks ya Marekani

Atlanta Hawks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Atlanta, Georgia. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Trae Young.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Atlanta Hawks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.