Nenda kwa yaliyomo

Astrocytoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa Astrocytoma

Astrocytoma ni aina ya kansa ya ubongo. Inatokana na ukosefu wa aina fulani za seli za astrocytes. Seli hizO za ubongo zina umbo la nyota. Ukosefu wa seli hizo huathiri uti wa mgongo na viungo vingine vya mwili.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Astrocytoma kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.