Asia Nakibuuka
Mandhari
| Asia Nakibuuka | |
| Amezaliwa | Uganda |
|---|---|
| Kazi yake | mwanasoka |
Asia Nakibuuka (alizaliwa 2002 au 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Uganda ambaye anacheza kama beki katika klabu ya mpira ya Kawempe Muslim Ladies FC ya Shirikisho la Soka la Uganda (FUFA) katika mashindano ya Ligi Kuu ya Wanawake na timu ya taifa ya wanawake ya Uganda.
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Nakibuuka amewahi kuichezea klabu ya mpira ya Kawempe Muslim Ladies ya nchini Uganda.[1]
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Nakibuuka aliichezea Uganda katika kiwango cha juu wakati wa Mashindano ya Wanawake ya COSAFA ya 2021 na kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika ya Wanawake mwaka 2022.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ - (2022-01-25). "FUFA: Federation of Uganda Football Associations Coach Lutalo names Crested Cranes provisional squad ahead of AWCON Qualifiers against Kenya". FUFA: Federation of Uganda Football Associations (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
{{cite web}}:|author=has numeric name (help) - ↑ "Asia Nakibuuka - Soccer player profile & career statistics - Global Sports Archive". globalsportsarchive.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-05.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asia Nakibuuka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |