Ashley Scott
Ashley Scott | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Ashley McCall Scott |
Alizaliwa | 13 Julai 1977 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji Mwanamitindo |
Ndoa | Anthony Rhulen (Oktoba 2004 - bado yupo nae) |
Ashley McCall Scott (amezaliwa tar. 13 Julai 1977) ni mwigizaji filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kwa vipindi vya televisheni na filamu. Moja kati ya tamthilia alizoigiza Ashley ni kama ifutavyo: Dark Angel , Birds of Prey, na Jericho.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Scott alizaliwa mjini Metairie, Louisiana na mzee Joe Scott, mwuguzi, na bibie Andrea Meister, msaidizi wa ofisini (sekretari). Scott alikulia mjini Charleston, South Carolina. Scott ni wa pili kuzaliwa kati ya watoto wawili wa kiume wa mzee Joe Scott. Scott ni miongoni mwa wanamitindo walioanza shughuli hizo wakiwa bado wadogo.
Wakati anaishi mjini Charleston akajiingiza katika mashindano ya kumtafuta mtu mwenye kipaji ya Millie Lewis Talent Competition. Kwa bahati nzuri akabahatika kuibuka mshindi katika mashindano hayo. Baada ya shinda hilo kwisha Scott akaelekea zake mjini New York kimasomo na kwenda kujifua zaidi kimaswala ya uwanamitindo.
Alienda huku na kule kutafuta njia mbadala ya kuwa mwanamitindo bora, kwa bahati nzuri akakuingikia mjini Miami na kuwa mwanamitindo bora wa Elite Miami. Kuanzia hapo tena akawa mwanatindo hai mwenye ukihitajika sehemu mbalimbali.
Pia akawahi kutolewa katika magazeti na vitabu mbalimbali na akawa anapata safari nyingi nchi za nje, ikiwemo, Paris na London. Pia akawa miongoni mwa wanamitindo wenye mvuto wa kutolewa katika magazeti kila wiki.
Filamu alizoigiza
[hariri | hariri chanzo]- 2007
- The Kingdom kama Janine Ripon
- Jericho (2006) (Tamthilia ya TV) kama Emily
- Strange Wilderness (2006) kama Cheryl
- Deceit aka The America Standard (2006)
- Puff. Puff, Pkamas aka Ekamaier Softer Way (2006) kama Elise
- Just Friends (2005) kama Nurse Janice
- Lost (film) kama Operator Judy (voice work only) (2004)
- Into the Blue kama Amanda (2004)
- Joey (Tamthilia ya TV) kama Allison (2004) (un-aired pilot episode only)
- Walking Tall kama Deni (2004)
- Evil Remains (film) kama Sharon (2003)
- S.W.A.T. kama Lara (2003)
- Birds of Prey (Tamthilia ya TV) kama Helena Kyle/ The Huntress (2002- 2003)
- Dark Angel sekamaon 2 (Tamthilia ya TV) kama Kamaha Barlow (reoccurring 2001 - 02)
- 02x01 - Designate This
- 02x02 - Bag 'Em
- 02x03 - Proof of Purchkamae
- 02x04 - Radar Love
- 02x05 - Boo
- 02x08 - Gill Girl
- 02x10 - Brainiac
- 02x12 - Borrowed Time
- 02x17 - Hello, Goodbye
- 02x18 - Dawg Day Afternoon
- AI: Artificial Intelligence kama Gigolo Jane (2001)
- On Air with Ryan Seacrest
- Sinema ilitolewa tar. 7 Aprili mwaka 2004(2004) TV Sinema.....Ashley Scott
- The Wayne Brady Show
- Sinema ilitolewa tar. 1 Aprili mwaka 2004(2004) TV Sinema.....Ashley Scott
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ashley Scott Bio at CBS - Jericho Ilihifadhiwa 12 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- Ashley Scott at the Internet Movie Database
- Ashley Scott katika Movies.com
- Ashley Scott Haven [1]