Ashar Aziz
Mandhari
Ashar Aziz (alizaliwa 1959) ni mhandisi wa umeme raia wa Pakistani na Marekani, mfanyabiashara na mhisani wa mambo ya jamii.
Anafahimika kama mvumbuzi wa kampuni ya usalama wa mtandao FireEye[1] huko bonde la silikoni.
Bilionea huyo [2][3] alikadiriwa kuwa na utajiri wa dola zaidi ya milioni 233 mwaka 2015[4].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ryan Mac. "Rampant FireEye Shares Makes Founder Ashar Aziz A Cybersecurity Billionaire". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
- ↑ Making the Impossible Possible: Ashar Aziz | The New Spaces
- ↑ Julie Bort. "Shares Of Newly Public Company FireEye Have Gone Nuts, And They've Turned This Man Into A Billionaire". Business Insider (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
- ↑ "Ashar Aziz Net Worth (2022) – wallmine.com". au.wallmine.com (kwa Australian English). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.