Nenda kwa yaliyomo

Armande de Polignac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Armande de Polignac

Armande de Polignac, ( 8 Januari 1876 - 29 Aprili 1962) alikuwa mtunzi nchini Ufaransa, ni mpwa wa mfalme Edmond de Polignac na ni binti wa mfalme Winnaretta de Polignac. Armande alijifunza na Eugène Gigout , Gabriel Fauré, pamoja na Vincent d'Indy kwenye shule ya kibinafsi ya Schola Cantorum.[1][2]Armande De Polignac alifunga ndoa na Comte de Chabanne la Palice.[3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kahan, Sylvia (2009). In search of new scales: Prince Edmond de Polignac, octatonic explorer (Digitized online by GoogleBooks). ISBN 9781580463058. Iliwekwa mnamo 30 Novemba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hamer, Laura (2012). Women in the Arts in the Belle Epoque: Essays on Influential Artists (Digitized online by GoogleBooks). ISBN 9780786460755.
  3. Souhami, Diana (1996). Mrs. Keppel and Her Daughter (Digitized online by GoogleBooks). ISBN 9780312195175. Iliwekwa mnamo 30 Novemba 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armande de Polignac kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.