Ariel Atkins
Mandhari
Ariel Atkins (alizaliwa Julai 30, 1996) ni Mmarekani mtaalamu wa mpira wa kikapu kutoka klabu ya Washington Mystics ambayo ipo kwenye ligi ya wanawake ijulikanayo kama Women's National Basketball Association (WNBA).
Baada ya miaka minne ya chuo, Atkins alichaguliwa nafasi ya saba kwenye nafasi ya kupita kwenda ligi kuu na Washington Mystics 2018 na kuwasaidia wao kufika katika fainali za WNBA[1]. Mnamo 2019 alishinda Michuano ya WNBA akiwa na Washington Mystics.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Lynx sign USA import Ariel Atkins - Perth Lynx", Perth Lynx (kwa American English), 2019-05-03, iliwekwa mnamo 2021-12-03
- ↑ "Ariel Atkins - Women's Basketball". University of Texas Athletics (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-08.
[[Jamii:{{ #if:1996|Waliozaliwa 1996|Tarehe ya kuzaliwa