Arapai
Mandhari
Arapai ni sehemu ya makazi ya watu Mashariki mwa Uganda, kitongoji cha mji wa Soroti, katika Wilaya ya Soroti, mkoa mdogo wa Teso.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Arapai ipo takriban kilomita 8 kwa usafiri wa barabara, kaskazini mwa wilaya ya katikati ya mji wa kibiashara wa Soroti kati ya barabara Soroti na Amuria katika Wilaya ya Amuria.[1]Mahali hapa ni takriban kilomita 245 sawa na maili 152, kwa barabara kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa Uganda Kampala.[2].Majira nukta ya Arapai ni:( 1 ° 46 '48.00 "N, 33 ° 37' 30.00" E (Latitudo: 1.7800; Longitudo: 33.6250).
Idadi ya watu
[hariri | hariri chanzo]Mpaka kufikia Desemba 2013 idadi kamili ya Arapai haijulikani hadharani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arapai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |