Nenda kwa yaliyomo

Aprikoti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aprikoti zima na jingine lililokatwa.

Aprikoti ni tunda la mwaprikoti, mti wa jenasi Prunus katika familia Rosaceae.

Kwa kawaida, maaprikoti ni matunda ya spishi P. armeniaca, lakini P. brigantina, P. mandshurica, P. mume, na P. sibirica yanahusiana sana na matunda yao pia huitwa aprikoti.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aprikoti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.