Anziza Salema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anziza Salema ni mwimbaji wa Salegy Baôsa ambaye chimbuko lake la binafsi na la muziki linatokana na utamaduni wa Sakalava Boina wa Madagaska .

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

  • Mahaiza Mipetraka (1999)
  • Ameolalana (2004)
  • Talents de Madagascar Vol. 1 (2006) [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. labootika.com: Talents de Madagascar Vol. 1 URL accessed 29 May 2007 Archived Februari 7, 2012, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anziza Salema kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.