Antony Hewish
Mandhari
Antony Hewish (amezaliwa 11 Mei 1924) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi ya nyota na kugundua nyota zinazodundadunda (kwa Kiingereza pulsar). Mwaka wa 1974, pamoja na Martin Ryle alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antony Hewish kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |