Antonio Napolioni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Napolioni (amezaliwa Camerino, 11 Desemba 1957) ni askofu Mkatoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 25 Juni 1983.

Tarehe 16 Novemba 2014 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Cremona.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.