Antoine Brizard
Mandhari
Antoine Arthur Fabien Brizard (alizaliwa 22 Mei 1994)[1] ni mchezaji wa kulipwa wa Ufaransa anayecheza mpira wa wavu katika timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Ufaransa na kwenye klabu ya Volley Piacenza huko Italia [2]. Alishiriki kwenye michuano ya Ubingwa Ulaya 2017 yaliyofanyika Polandi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Antoine BRIZARD". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
- ↑ Antoine Brizard is based in Piacenza, Italy (in-24.com)